Menu
  • Machi 29, 2020

    SHIRIKI KATIKA SIKU YA MATENDO MEMA!

Siku ya Matendo Mema ni harakati za dunia za kutenda matendo mema  

DIRA

Siku ya Matendo Mema ilianzishwa mwaka 2007 na mfanyabiashara na mhisani mwanamke, Shari Arison, Aidha, ilizinduliwa na kuandaliwa na Ruach Tova (Asasi Isiyo ya Serikali – AISE), sehemu ya Mfuko wa Familia ya Ted Arison, Tawi la Kampuni ya Arison. “Ninaamini kwamba kama watu watafikiria mambo mema, kuzungumza mema na kutenda mema, mzunguko wa kutenda wema utaongezeka duniani.  Siku ya Matendo Mema imekuwa siku yenye mwamko mkubwa wa utoaji wa matumaini, na mwaka huu watu binafsi, watoto wa shule, wanajeshi na wafanyakazi kutoka katika shughuli nyingi mbalimbali wanaungana  kwa  ajili ya Siku ya Matendo Mema ya mwaka kwa lengo la kufanya matendo mema kwa wengine, “ anasema  Shari Arison.

MABADILIKO YA SIKU YA MATENDO MEMA

Siku ya Matendo Mema inaenea duniani kote!
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2007, mazoea haya ya kila mwaka ya mambo mema yameongezeka kutoka washiriki 7,000 mwaka 2007 huko Israel hadi washiriki wapatao milioni 1 mwaka 2015. Ilisambaa duniani kote mwaka 2011 katika miji ya kimataifa 10, mingi ikiwa ni kutoka Marekani, Siku ya Matendo Mema ilianza kwa kuwaunganisha watu duniani kote. Mwaka 2012, tulifika Ulaya na kushirikiana na MTV Global katika kampeni ya wiki sita kwenye mtandao wake na majukwaa ya Televisheni tukionyesha ujumbe kwa watazamaji milioni 24 duniani kote.  Mwaka 2013, watu wa kujitolea 16,000 kutoka nchi 50 walishiriki katika mamia ya miradi, ikiwemo ule ulioanza ambao ulifanywa na Mtandao wa ABC katika Jiji la New York. Baada ya hapo, Siku ya Matendo Mema iliongezeka mara mbili katika kuwafikia watu mwaka 2014, kwa kushirikiana kwa mwaka wa pili mfululizo na Mtandao wa ABC wa Jiji la New York, na kwa kushirikiana na mashirika makubwa ya kujitolea kama sehemu ya  kampeni kubwa inayohusisha Televisheni, redio, na mitandao ya kijamii. Watu 500,000 walishiriki huko Israel na watu wapatao 35,000 duniani kote.

Siku ya Matendo Mema iliendelea kupata kasi na kufanya siku yake kuu kuwa tarehe 7 Aprili, 2019. Washiriki 3,900,000 kutoka katika nchi 108 walishiriki katika miradi  20,000, yenye jumla ya zaidi ya saa milioni 7.8 za kutoa huduma.

SHIRIKI:

Miradi ya Siku ya Matendo Mema inafanyika duniani kote kupitia washirika wenyeji na wawakilishi.

Baruapepe: info@good-deeds-day.org

UNGEPENDA KUPAKUA NINI?

  • INFOGRAFÍA DEL DBA 2023

  • MARCA TU CALENDARIO 2024

  • RESERVE ESSA DATA 2024 -TEMPLATE

  • LOGO DBA LETRAS BLANCAS

  • POST FACEBOOK – MARCA TU CALENDARIO 2024

  • POST PARA FACEBOOK – MARCA TU CALENDARIO 2024

  • RESERVE ESSA DATA 2024

  • PORTA DO FACEBOOK 2024

  • POST DO FACEBOOK 2024 -1

  • POST DO FACEBOOK 2024 – 2

  • POST DO FACEBOOK 2024 – 3

  • FOLLETO DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES PARA VOLUNTARIOS-PORTUGUÉS

  • LOGO DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES PORTUGUÉS

  • LOGO DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES

  • FOTO PORTADA FACEBOOK 2024

  • LOGO DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES UN SOLO COLOR

  • LOGO DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES

  • FOLLETO DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES

  • KIT DE BIENVENIDA: ¿CÓMO PARTICIPAR?

  • KIT: QUÉ HACER LUEGO DE REGISTRARTE

  • GUÍA: CÓMO ENVIARNOS TUS FOTOS

  • INFOGRAFÍA DEL DBA 2022

  • LISTA: LAS FOTOS QUE DEBES SACAR

  • MODELO DE COMUNICADO DE PRENSA

  • GUÍA PARA SACAR BUENAS FOTOS

  • CAMPAÑA DE CONCIENTIZACIÓN DE LA DISCAPACIDAD

  • GUÍA PARA LA GESTIÓN DE PRENSA DEL DBA

  • IDEAS PARA SER AMABLE

  • ETIQUETA PARA CAMPAÑA TE ABRIGO

  • INFOGRAFÍA DEL DBA 2021 GLOBAL

  • INFOGRAFÍA DEL DBA 2021 EN AMÉRICA LATINA

  • FAMING: KIT DE MARKETING

  • FAMING: ACTIVIDAD

  • FAMING: FOTO PARA FACEBOOK

  • FAMING: PORTADA PARA FACEBOOK

  • INSTRUCTIVO PARA CREAR BANDERA

  • FOTO DE PORTADA PARA FACEBOOK

  • KIT DE COMUNICACION Y PRENSA

  • KIT DE HERRAMIENTAS PARA CONSEGUIR PATROCINIOS

  • KIT DE PATROCINIOS – PRESENTACIÓN DE MUESTRA

  • KIT DE HERRAMIENTAS PARA EMPRESAS

  • KIT DE HERRAMIENTAS PARA LOS EVENTOS

  • KIT DE HERRAMIENTAS PARA ORGANIZACIONES

  • INFOGRAFÍA DBA 2021 EN MÉXICO

  • INFOGRAFÍA
    LOS NUMEROS DEL DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES

  • INFOGRAFÍA DEL VOLUNTARIADO

  • GUÍA PARA IDEAS DE ACTIVIDADES

  • DISEÑO DE LA CAMISETA

  • GRÁFICA EDITABLE PARA FACEBOOK

  • GRÁFICA EDITABLE PARA PORTADA

  • PLANTILLA PARA PÓSTERES

  • FOLLETO DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES COSTA RICA

  • LOGO DÍA DE LAS BUENAS ACCIONES COSTA RICA

  • FIRMA CORREO ELECTRÓNICO COSTA RICA

  • CERTIFICADO DE AGRADECIMIENTO

Skip to content